Mwa. 19:14 Swahili Union Version (SUV)

Lutu akatoka akasema na wakweze, waliowaposa binti zake, akasema, Ondokeni mtoke katika mahali hapa kwa sababu BWANA atauharibu mji huu. Lakini akawa kama achezaye machoni pa wakweze.

Mwa. 19

Mwa. 19:11-15