Mwa. 18:32 Swahili Union Version (SUV)

Akasema, Bwana asiwe na hasira, nami nitasema mara hii tu, Huenda wakaonekana huko kumi? Akasema, Sitaharibu kwa ajili ya hao kumi.

Mwa. 18

Mwa. 18:29-33