Mwa. 17:8 Swahili Union Version (SUV)

Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.

Mwa. 17

Mwa. 17:1-16