Mwa. 11:9 Swahili Union Version (SUV)

Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.

Mwa. 11

Mwa. 11:2-19