Mwa. 11:15-17 Swahili Union Version (SUV)

15. Sela akaishi baada ya kumzaa Eberi miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, waume na wake.

16. Eberi akaishi miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi.

17. Eberi akaishi baada ya kumzaa Pelegi miaka mia nne na thelathini, akazaa wana, waume na wake.

Mwa. 11