Mwa. 10:21-24 Swahili Union Version (SUV)

21. Naye Shemu ambaye ni baba wa wana wote wa Eberi, na ndugu mkubwa wa Yafethi, akazaliwa wana.

22. Wana wa Shemu ni Elamu, na Ashuru, na Arfaksadi, na Ludi, na Aramu.

23. Na wana wa Aramu ni Usi, na Huli, na Getheri, na Mashi.

24. Arfaksadi akamzaa Sela, Sela akamzaa Eberi.

Mwa. 10