Mwa. 1:29 Swahili Union Version (SUV)

Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;

Mwa. 1

Mwa. 1:23-31