Mwa. 1:12 Swahili Union Version (SUV)

Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Mwa. 1

Mwa. 1:10-20