Mwa. 1:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

2. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.

3. Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Mwa. 1