Mt. 8:5-7 Swahili Union Version (SUV)

5. Hata alipoingia Kapernaumu, akida mmoja alimjia,

6. akamsihi, akisema, Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani, mgonjwa wa kupooza, anaumwa sana.

7. Yesu akamwambia, Nitakuja, nimponye.

Mt. 8