Mt. 8:10 Swahili Union Version (SUV)

Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa ye yote katika Israeli.

Mt. 8

Mt. 8:6-19