Mt. 7:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

2. Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

Mt. 7