Mt. 5:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia;

2. akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema,

3. Heri walio maskini wa roho;Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Mt. 5