Mt. 4:23 Swahili Union Version (SUV)

Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa kila namna katika watu.

Mt. 4

Mt. 4:18-25