Mt. 26:71 Swahili Union Version (SUV)

Naye alipotoka nje hata ukumbini, mwanamke mwingine alimwona, akawaambia watu waliokuwako huko, Huyu alikuwapo pamoja na Yesu Mnazareti.

Mt. 26

Mt. 26:70-75