Mt. 26:64 Swahili Union Version (SUV)

Yesu akamwambia, Wewe umesema; lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.

Mt. 26

Mt. 26:55-70