Mt. 20:33-34 Swahili Union Version (SUV) Wakamwambia, Bwana, twataka macho yetu yafumbuliwe. Yesu akawahurumia, akawagusa macho yao; mara wakapata kuona