Mt. 20:32-34 Swahili Union Version (SUV)

32. Yesu akasimama, akawaita, akasema, Mnataka niwafanyie nini?

33. Wakamwambia, Bwana, twataka macho yetu yafumbuliwe.

34. Yesu akawahurumia, akawagusa macho yao; mara wakapata kuona, wakamfuata.

Mt. 20