Mt. 16:7-9 Swahili Union Version (SUV)

7. Wakabishana wao kwa wao, wakisema, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate.

8. Naye Yesu akafahamu, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani chache, kwa sababu hamna mikate?

9. Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?

Mt. 16