Mt. 15:37-39 Swahili Union Version (SUV)

37. Wakala wote wakashiba; wakayaokota masazo ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa.

38. Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila wanawake na watoto.

39. Akawaaga makutano, akapanda chomboni, akaenda pande za Magadani.

Mt. 15