Mt. 15:24-26 Swahili Union Version (SUV)

24. Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

25. Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.

26. Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.

Mt. 15