Mt. 13:23 Swahili Union Version (SUV)

Naye aliyepandwa penye udongo mzuri, huyo ndiye alisikiaye lile neno, na kuelewa nalo; yeye ndiye azaaye matunda, huyu mia, na huyu sitini, na huyu thelathini.

Mt. 13

Mt. 13:14-31