Tazama, bikira atachukua mimba,Naye atazaa mwana;Nao watamwita jina lake Imanueli;Yaani, Mungu pamoja nasi.