Mk. 9:5 Swahili Union Version (SUV)

Petro akajibu, akamwambia Yesu, Rabi, ni vizuri sisi kuwapo hapa; na tufanye vibanda vitatu, kimoja chako wewe, kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.

Mk. 9

Mk. 9:1-12