Mk. 9:42 Swahili Union Version (SUV)

Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini.

Mk. 9

Mk. 9:37-50