Mk. 8:13-15 Swahili Union Version (SUV)

13. Akawaacha, akapanda tena chomboni, akaenda zake hata ng’ambo.

14. Wakasahau kuchukua mikate, wala chomboni hawana ila mkate mmoja tu.

15. Akawaagiza, akasema, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.

Mk. 8