Mk. 7:7-9 Swahili Union Version (SUV)

7. Nao waniabudu bure,Wakifundisha mafundishoYaliyo maagizo ya wanadamu,

8. Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.

9. Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.

Mk. 7