Mk. 6:41 Swahili Union Version (SUV)

Akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama mbinguni, akashukuru, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi wake wawaandikie; na wale samaki wawili akawagawia wote.

Mk. 6

Mk. 6:33-48