Mk. 5:35 Swahili Union Version (SUV)

Hata alipokuwa katika kunena, wakaja watu kutoka kwa yule mkuu wa sinagogi, wakisema, Binti yako amekwisha kufa; kwani kuzidi kumsumbua mwalimu?

Mk. 5

Mk. 5:27-43