Mk. 5:30 Swahili Union Version (SUV)

Mara Yesu, hali akifahamu nafsini mwake kwamba nguvu zimemtoka, akageuka kati ya mkutano, akasema, Ni nani aliyenigusa mavazi yangu?

Mk. 5

Mk. 5:27-35