Mk. 4:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Akaanza kufundisha tena kando ya bahari. Wakamkusanyikia mkutano mkubwa mno, hata yeye akapanda chomboni, akakaa baharini, mkutano wote ulikuwako juu ya nchi kavu kando ya bahari.

2. Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, akawaambia katika mafundisho yake,

Mk. 4