Mk. 15:4-6 Swahili Union Version (SUV)

4. Pilato akamwuliza tena akisema, Hujibu neno? Tazama ni mambo mangapi wanayokushitaki!

5. Wala Yesu hakujibu neno tena, hata Pilato akastaajabu.

6. Basi wakati wa sikukuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamwombaye.

Mk. 15