Daudi mwenyewe alisema, kwa uweza wa Roho Mtakatifu,Bwana alimwambia Bwana wangu,Uketi mkono wangu wa kuume,Hata niwawekapo adui zakoKuwa chini ya miguu yako.