Ana heri mtu yule anisikilizaye,Akisubiri sikuzote malangoni pangu,Akingoja penye vizingiti vya milango yangu.