Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru,Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima.