23. Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo;Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
24. Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe,Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.
25. Macho yako yatazame mbele,Na kope zako zitazame mbele yako sawasawa.
26. Ulisawazishe pito la mguu wako,Na njia zako zote zithibitike;