Mit. 30:4 Swahili Union Version (SUV)

Ni nani aliyepanda mbinguni na kushuka chini?Ni nani aliyekamata upepo kwa makonzi yake?Ni nani aliyeyafunga maji ndani ya nguo yake?Ni nani aliyefanya imara ncha zote za nchi?Jina lake ni nani? Na ni nani jina la mwanawe, kama wajua?

Mit. 30

Mit. 30:1-13