Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi;Na kupiga pua hutokeza damu;kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.