Mit. 3:28-30 Swahili Union Version (SUV)

28. Usimwambie jirani yako,Nenda, urudi halafu, na kesho nitakupa;Nawe unacho kitu kile karibu nawe.

29. Usiwaze mabaya juu ya jirani yako,Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.

30. Usishindane na mtu bila sababu,Ikiwa hakukudhuru kwa lo lote.

Mit. 3