Kwa sababu ya maasi ya nchi wakuu wake huwa wengi;Bali kwa wenye ufahamu na maarifa hali ya nchi hudumishwa