Mit. 26:26-27 Swahili Union Version (SUV)

26. Ingawa chuki hufunikizwa kwa hila;Uovu wake utadhihirika mbele ya kusanyiko.

27. Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe;Naye abingirishaye jiwe litamrudia.

Mit. 26