Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole?Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno?Ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu?Ni nani aliye na macho mekundu?