Mik. 2:4 Swahili Union Version (SUV)

Siku hiyo watatunga mithali juu yenu, na kuomboleza kwa maombolezo ya huzuni nyingi, na kusema,Sisi tumeangamizwa kabisa;Yeye analibadili fungu la watu wangu;Jinsi anavyoniondolea hilo!Awagawia waasi mashamba yetu.

Mik. 2

Mik. 2:1-5