Mik. 2:13 Swahili Union Version (SUV)

Avunjaye amekwea juu mbele yao;Wamebomoa mahali, wakapita mpaka langoni,Wakatoka nje huko;Mfalme wao naye amepita akiwatangulia,Naye BWANA ametangulia mbele yao.

Mik. 2

Mik. 2:5-13