Kwa maana jeraha zake haziponyekani;Maana msiba umeijilia hata Yuda,Unalifikia lango la watu wangu,Naam, hata Yerusalemu.