Mik. 1:15-16 Swahili Union Version (SUV)

15. Bado, ukaaye Maresha, nitakuletea yeye atakayekumiliki;Utukufu wa Israeli utafika mpaka Adulamu.

16. Jifanyie upaa, jikate nywele zako,Kwa ajili ya watoto waliokufurahisha;Panua upaa wako kama tai;Kwa maana wamekwenda mbali nawe utumwani.

Mik. 1