Jitunze mguu wako uendapo nyumbani kwa Mungu;Maana ni heri kukaribia ili usikie,Kuliko kutoa kafara ya wapumbavu;Ambao hawajui kuwa wafanya mabaya.