Mhu. 2:25-26 Swahili Union Version (SUV)

25. Kwa maana ni nani awezaye kula au kujiburudisha kuliko mimi?

26. Kwa sababu Mungu humpa yeye aliyemridhia hekima na maarifa na furaha; bali mkosaji humpa taabu, ili kukusanya na kututa, apate kumpa huyo ambaye Mungu amridhia. Hayo nayo ni ubatili na kujilisha upepo.

Mhu. 2