Mawingu yakiwa yamejaa mvua,Yataimimina juu ya nchi;Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini,Paangukapo ule mti, papo hapo utalala.