Roho yake mtawala ikiinuka kinyume chako,Usiondoke mara mahali pako ulipo;Kwa maana roho ya upole hutuliza machukizo yaliyo makubwa.